IQNA – Jordan imetoa onyo kali kwa washirika wake wa kimataifa kwamba utawala haramu wa Israel unaweza kuwa karibu kuchukua udhibiti kamili wa msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa AL Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3482595 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/07